Mtunzi: Joseph Mgallah
> Mfahamu Zaidi Joseph Mgallah
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Mgallah
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Joseph Mgallah
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Familia Takatifu
Wachungaji wakaenda kwa haraka wakamkuta Mariamu na Ukosefu na yule mtoto mchanga amelala horini. X2
1. Walipomuona wakatoa habari waliyoambiwa juu ya mtoto.
2. Wote waliosikia wakastaajabu kwa waliyoambiwa na wachungaji