Mtunzi: Erick Kessy
> Mfahamu Zaidi Erick Kessy
> Tazama Nyimbo nyingine za Erick Kessy
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Isaya Simfukwee
Umepakuliwa mara 25 | Umetazamwa mara 34
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 2 Mwaka C
Wahubirini mataifa habari za utukufu wake, mwimbieni Bwana wimbo mpya, mwimbieni Bwana nchi yote, mwimbieni Bwana libarikini jina lake.