Ingia / Jisajili

WAJIBU WANGU

Mtunzi: SEBASTIAN KILIMA
> Mfahamu Zaidi SEBASTIAN KILIMA

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: DEUS VITUS

Umepakuliwa mara 351 | Umetazamwa mara 826

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
WAJIBU WANGU Wajibu wangu kwa Mungu wangu,wajibu wangu kwa Mungu wangu nimjue nimpende nimtumikie nifike kwake aliko mbiguni 1.wajibu wangu kwa Mungu wangu Mimi nimtumikie nifike kwake mbinguni. 2.sifa zake Mungu nitaziimba milele nitaziimba milele na milele. 3.njoni watu wote tumwimbie Mungu tuzitangaze sifa zake milele

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa