Mtunzi: Madam Edwiga Upendo
> Mfahamu Zaidi Madam Edwiga Upendo
> Tazama Nyimbo nyingine za Madam Edwiga Upendo
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Madam Edwiga Upendo
Umepakuliwa mara 1,950 | Umetazamwa mara 4,381
Download Nota Download MidiKiitikio: Kama watoto wachanga waliozaliwa sasa yatamanini maziwa ya akili yasighoshiwa X2
Mashairi: 1. Ili kwa hayo mpate kuukulia wokovu Aleluya
2. Mtukuzeni Mungu ndiye shime yetu Mshangilieni Mungu wa Yakobo