Ingia / Jisajili

Wakati Sasa Umeshafika

Mtunzi: Kanuti Venance Bernard
> Mfahamu Zaidi Kanuti Venance Bernard
> Tazama Nyimbo nyingine za Kanuti Venance Bernard

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Martin Munywoki

Umepakuliwa mara 3,546 | Umetazamwa mara 6,946

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

{ Wakati sasa umeshafika wa kujifikiria
Kitu gani umtolee Bwana kama shukrani zako } *2
{ Toa kwa moyo wa mapendo,
Toa ulicho nacho (ndugu) toa kwa ukarimu
Mungu anakuona ndugu mpaka moyoni mwako } *2

  1. Ewe ndugu usimame, nenda mbele zake Bwana
    Kamtolee sadaka Bwana kwa mapendo yote
  2. Tolea moyo wako, pamoja na matendo yako
    Naye Bwana Mungu wako kweli atakubariki
  3. Siku zote Mungu wako amekulinda vyema
    Nawe sasa ndugu yangu hima ujifikirie

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa