Ingia / Jisajili

Wakristo Jongeeni

Mtunzi: Augustine Rutakolezibwa
> Mfahamu Zaidi Augustine Rutakolezibwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Augustine Rutakolezibwa

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: AUGUSTINE RUTAKOLZIBWA

Umepakuliwa mara 319 | Umetazamwa mara 1,962

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Wakristu jongeeni kwenye karamu ya Bwana anatualika sote twende tukampokee,
Tukale mwili wake, tunywe damu yake, tukaishi milele asema Bwana x 2

  1. Alaye mwili wangu, na kunywa damu yangu, ana uzima wa milele asema Bwana.

  2. Njoni kwangu mkale, mkale mwili wangu, hutolewao kwa maondoleo ya dhambi.

  3. Njoni kwangu mkanywe, mkanywe damu yangu, iliyomwagika kwa ajili yenu nyote.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa