Ingia / Jisajili

Wastahili Kusifiwa

Mtunzi: Enyonyi Abemba Chriso
> Mfahamu Zaidi Enyonyi Abemba Chriso
> Tazama Nyimbo nyingine za Enyonyi Abemba Chriso

Makundi Nyimbo: Utatu Mtakatifu

Umepakiwa na: Enyonyi Abemba

Umepakuliwa mara 168 | Umetazamwa mara 222

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Utatu Mtakatifu Mwaka A

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
K) Wastahili kusifiwa na kuadhimishwa milele 1. Umehimidiwa Ee Bwana,Mungu wa Baba zetu wastahili kusifiwa na kuadhimishwa milele,limehimidiwa jina lako takatifu lastahili kusifiwa nakuadhimishwa milele. 2. Umehimidiwa katika hekalu lafahari yako takatifu,wastahili kusifiwa nakuadhimishwa milele,umehimidiwa juu ya kiti cha ufalme wako, wastahili kusifiwa na kuadhimishwa milele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa