Mtunzi: Fransis norbert
> Mfahamu Zaidi Fransis norbert
> Tazama Nyimbo nyingine za Fransis norbert
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Fransis Norbert
Umepakuliwa mara 2 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiNikitafakari upendo wako Bwana na baraka unazonijalia Mungu wangu, umeniumba kwa mfano wako mwenyewe sina budi kukushukurux2, unanilinda mchana na usiku tena umenitofautisha na viumbe wengine, wewe bwana Mungu wastahili kusifiwa
1. Wewe Bwana mungu unanijua toka tumboni mwa mama yangu unaijua jana yangu na kesho yangu wewe wajua kuketi kwangu na kuondoka kwangu.
2. Wewe bwana mungu unanikinga na kuniponya na magonjwa mengi, wewe wajua kuketi kwangu na kuondoka kwangu, nitalisifu na kulihimidi jina lako
3. Mungu wangu mwamba wangu umenipa akili ya kutambua mema na mabaya ninapaza sauti kukupa shukrani zangu.