Mtunzi: Augustine Rutakolezibwa
> Mfahamu Zaidi Augustine Rutakolezibwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Augustine Rutakolezibwa
Makundi Nyimbo: Zaburi | Epifania
Umepakiwa na: AUGUSTINE RUTAKOLZIBWA
Umepakuliwa mara 690 | Umetazamwa mara 2,965
Download Nota Download MidiAUGUSTINE RUTTA
ST.THERESIA USHIRMBO 2011
Mataifa yote ya ulimwengu watakusujudia Ee Bwana watakusujudia ehe watakusujudia wewe Bwana watakusujudia watakusujudia Ee Bwana x2
1. Ee Mungu mpe mfalme hukumu zako na mwana wa mfalme haki yako
2. Atawaamua watu wako kwa haki na watu walioonewa
3. Siku zake yey mtu mwenye haki atasitawi na wingi wa amani
Mpaka mwezi utakapo koma mpaka mwezi utakapo koma
Mpaka mwezi utakapo koma mpaka mwezi utakapo koma