Mtunzi: A.Family
> Mfahamu Zaidi A.Family
> Tazama Nyimbo nyingine za A.Family
Makundi Nyimbo: Matawi
Umepakiwa na: Aloyce Family
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiWatoto wawayahudi walimlaki Bwana yesu, wakichukua matawi yamizeituni×2 wakisema hosana hosana, wakisema hosana hosana, wakisema hosana hosana hosana mwana wa daudi×2
1..Walipaza sauti zao wakiwa namatawi, matawi ya mitende mikononi mwao.
2..Wakiimba hosana hosana mwana wa daudi, mbarikiwa ajaye kwa jina la Bwana.
3..Mwambieni binti sayuni tazama mfalme wako, anakuja kwako amepanda punda.