Ingia / Jisajili

Waufumbua Mkono Wako

Mtunzi: Robert Nazael .J.
> Mfahamu Zaidi Robert Nazael .J.
> Tazama Nyimbo nyingine za Robert Nazael .J.

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Robert Nazael.J.

Umepakuliwa mara 28 | Umetazamwa mara 75

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
(K)Waufumbua Mkono wako wakishibisha Kila kilicho hai matakwa yake 1.Ee Bwana Kazi zako zote zitakushukuru na Wacha Mungu wako watakuhimidi wataunena utukufu wa ufalme wako na ku u hadithia uweza wako 2.Macho ya watu yakuelekea wewe nawe huwapa chakula Chao wakati wake Waufumbua Mkono wako wakishibisha Kila kilicho hai matakwa yake 3.Bwana ni mwenye Haki Katika njia zake zote, na mwenye fadhili juu ya Kazi zake zote Bwana Yu karibu na wote wamwitao, wote wamwitao Kwa uaminifu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa