Ingia / Jisajili

Waufumbua Mkono Wako

Mtunzi: Augustine Rutakolezibwa
> Mfahamu Zaidi Augustine Rutakolezibwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Augustine Rutakolezibwa

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: AUGUSTINE RUTAKOLZIBWA

Umepakuliwa mara 1,838 | Umetazamwa mara 3,714

Download Nota Download Midi

Maoni - Toa Maoni

Florian Jul 26, 2018
Tumsifu Yesu kristo! Kwa kweli mnastahili baraka na neema nyingi toka kwa Mungu kwani binafsi mnanisaidia sana kupata nyimbo bila kupata shida kwa kuwa sina talanta ya kutosha kutunga na kuandika nyimbo pamoja na kuwa ni Organist. Asanteni sana na Mbarikiwe. Naomba Notation composer iwe ni moja ya notation software ambayo pia inaweza kutumika wakati wa ku-upload Notes na Mid. Pia hapo nyuma mlikuwa mkinitumia Notes za Nyimbo za Dominika siku chache kabla ya Dominika inayofuata, lakini kwa sasa sipati huduma hiyo. Nini tatizo? Asante.

Toa Maoni yako hapa