Ingia / Jisajili

Ee Bwana Unihukumu

Mtunzi: John Kimaro
> Mfahamu Zaidi John Kimaro
> Tazama Nyimbo nyingine za John Kimaro

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: John Kimaro

Umepakuliwa mara 177 | Umetazamwa mara 793

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
We Bwana unihukumu (Mimi) unitetee kwa taifa Lisilo hakix2 uniokoe na mtu wa hila Asiye haki kwa maana wewe ndiwe mungu uliye nguvu zangux2. Shairi (1) Kwa kuwa wewe ndiwe mungu uliye nguvu zangu Kwa nini umenitupa nitetee kwa taifa Lisilo haki (2) Niletewe neema yako na kweli yako Ili ziniongezee mimi Poa zinifikishe kwako ee bwana

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa