Ingia / Jisajili

Eeh Mkombozi Wetu

Mtunzi: Kapchok Raphael Poghisho
> Mfahamu Zaidi Kapchok Raphael Poghisho
> Tazama Nyimbo nyingine za Kapchok Raphael Poghisho

Makundi Nyimbo: Mwaka wa Huruma ya Mungu

Umepakiwa na: Raphael Poghisho

Umepakuliwa mara 87 | Umetazamwa mara 377

Download Nota
Maneno ya wimbo
Eeh Mkombozi wetu Bwana njoo, njoo utuokoe hima×2 1. Furahini katika Bwana (sote twamtazamia) tazamia Kwa furaha 1b. Atakuja hatakawia....... 2a. Afikapo na malaika........ 2b. Kiti cha enzi atakikalia... 3a. Mataifa yatakusanywa.... 3b. Mbele yake akimu wao.... 4a. Wale wasiohurumia ndugu...... 4b. Wafukuzwa hata kulaaniwa.......

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa