Ingia / Jisajili

Wema Wa Bwana

Mtunzi: Deo Nkoko
> Tazama Nyimbo nyingine za Deo Nkoko

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Edgar Mademla

Umepakuliwa mara 6,286 | Umetazamwa mara 10,209

Download Nota Download Midi

Maoni - Toa Maoni

Felix helandogo May 17, 2022
Hongera kwa kazi nzuri ila naomba upakie wimbo wa kesho hiyo, naipenda sana.

Mussa francis Jul 05, 2021
Nakupongeza sana kwa utunzi wa nyimbo nzuri mungu azidi kukuzidishia maisha mema na aukupe ujuzi zaidi nazaid. Naomba cpoy ya wimbo nusu kwa nusu natanguliza shukurani zangu

Ditram hinju Dec 29, 2019
Hongera kwa kazi nzuri,, kwa kweli namna unavyofanya utunzi wako unatulia sana. Just keep it and may God should bless u more..lakn kuna nyimbo kaka deo hajaweka .kwa mf.zimejaa naomba atupiee ili nasi tupate kuuimba ,,pamoja na nyimbo nyingine..nusu kwa nusu

edward Feb 05, 2018
unafanya kaz zur ila nusu kwa nusu mbna haipo

mpemba Nov 21, 2017
Nakupongeza kwa kazi yako nzuri ila samahani naomba pdf ya wimbo nusu kwa nusu kama hutojari lakini ni mshabiki wako mzuri sana Hongela kwa kazi zako nzuri

boniphace bernard mhema Oct 28, 2017
mambo yako vizuri,sana ukopoa,,,,naomba wimbo wenyemaneno haya,wanaanza bes lakini sisikii vizuri,isipokuwa wakipokea,wanasema,,,nyosha mkono wako nyoshana uchague kile ukipendacho,kati yauzima namauti.

ANDREW MAGENDELO Jun 16, 2017
Upo vizuri brother,ila naomba utupie na lile song la IPO TU

pascal julius Jun 09, 2017
minawapongeza ila nashangaa mtunzi anakuwa na nyimbo nyingi lkn hapa kaweka nyimbo chache wekeni nyimbo zote tuimbe nasisi tufurahie vipaji vyenu hasa mabogo na DEO nkonko mnaficha sana nyimbo

Toa Maoni yako hapa