Ingia / Jisajili

Nakuinulia Sala Yangu

Mtunzi: Deo Nkoko
> Tazama Nyimbo nyingine za Deo Nkoko

Makundi Nyimbo:

Umepakiwa na: Eusebius Joseph Mikongoti

Umepakuliwa mara 17,886 | Umetazamwa mara 22,412

Download Nota

Maoni - Toa Maoni

Paul Massawe Feb 15, 2023
Nyimbo zako zinanibariki sana. Naomba uweke nota za wimbo wa msaada u katika bwana

Neighbour Jun 30, 2021
Safi

Smwel Wazenga Jan 23, 2020
Naomba niseme kweli Deo wewe umebarikiwa..What a composer!!! Melody na utulivu wa huu wimbo ni wa kiwango cha juu sana..una nibariki sana...

Dr mbulwa Jan 19, 2019
wimbo unanibariki saanaa sina chakuongeza ilaa mtunzi upo vizuri

Revocatus Mganilwa Dec 15, 2018
Nampongeza Mtunzi wa Wimbo huu, Mtaalamu Deo Nkoko, hakika Huwa unafanya Muimbaji unahisi Kama Uko Juu Mbinguni Kipindi Cha Kufukiza Ubani.. Big Up. Deo Nkoko...

Toa Maoni yako hapa