Mtunzi: Frt. John W. Nsenye Sds
> Mfahamu Zaidi Frt. John W. Nsenye Sds
> Tazama Nyimbo nyingine za Frt. John W. Nsenye Sds
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Frt.John Nsenye
Umepakuliwa mara 528 | Umetazamwa mara 1,906
Download Nota Download MidiWEWE BWANA MAKAO YETU
We-we-Bwana, Umekuwamakao yetu kizazi baada ya ki- zazi, kizazi baada ya kizazi. x2
1. Wamrudisha mtu mavumbini , usemapo rudini Enyi wanadamu, maana miaka elfu machoni pako ni kama siku ya jana ikii-sha kupita nikama kesha la usiku.
2. Wawagharikisha huwa - kama usingizi kama majani ya meayo, asubuhi ya-chipuka pia yamea; jioni tena yakatika ya kauka jioni, jioni yakauka tena.
3. Basi utujulishe kuhesabu na siku zetu tuwe watu wahekima, Ee Bwana urudi lini na hatalini Ee Bwana Mungu Uwahurumie wahurumie, na hawa watumishi wako.