Mtunzi: Frt. John W. Nsenye Sds
> Mfahamu Zaidi Frt. John W. Nsenye Sds
> Tazama Nyimbo nyingine za Frt. John W. Nsenye Sds
Makundi Nyimbo: Watakatifu
Umepakiwa na: Frt.John Nsenye
Umepakuliwa mara 408 | Umetazamwa mara 1,709
Download Nota Download MidiMWENYE HERI ANTONIO ROSIMINI UTUOMBEE
Mwenyeheri Antonio Rosimini, Baba Utuombee x2.
Baba tuombee Baba tuombee Baba tuombee na utusaidie
tuyashike mafundi--sho yake (ii.Bwana) Yesu. x2.
1.Ku ta - ma ni ku mpe nda - Mungu, kwa ma i sha yo te.
2.Ku ta - nga za, I nji li ya Kri stu, kwa ma i sha ye tu.
3.Na ku a bu du, ku fu ra hi, ukimya, ndi o nga o ye tu.
4.Ku i shi kwe tu, na ku fa - kwe tu, ku we kwa ke kri stu.
5.Tu we sa da ka, na ye pe li ka ni, a wemfa no we tu.