Ingia / Jisajili

Wewe Unayo Maneno

Mtunzi: Stephen Kagama
> Mfahamu Zaidi Stephen Kagama
> Tazama Nyimbo nyingine za Stephen Kagama

Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Pasaka | Zaburi

Umepakiwa na: Stephen Kagama

Umepakuliwa mara 397 | Umetazamwa mara 919

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Wewe unayo maneno ya uzima wa milele (Ee Bwana) wewe unayo maneno ya uzima wa milele. 1.Sheria ya Bwana ni kamilifu huiburudisha nafsi ushuhuda wa Bwana ni amini, humtia mjinga hekima. 2.Maagizo ya Bwana ni adili huufurahisha moyo, amri ya Bwana ni safi huyatia macho nuru 3.Kicho cha Bwana ni kitakatifu kinadumu milele hukumu za Bwana ni kweli zina haki kabisa 4.Ni ya kutamanika kuliko dhahabu kuliko wingi wa dhahabu safi, nazo ni tamu kuliko asali kuliko sega la asali.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa