Ingia / Jisajili

Tumekombolewa

Mtunzi: Stephen Kagama
> Mfahamu Zaidi Stephen Kagama
> Tazama Nyimbo nyingine za Stephen Kagama

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Pasaka

Umepakiwa na: Stephen Kagama

Umepakuliwa mara 22 | Umetazamwa mara 43

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
1.Utawala wa dhambi sasa umekwisha tumekuwa huru dhidi ya uovu wote..hakika Tumekombolewa (kwa damu),tumekombolewa, Tumekombolewa kwa damu ya Yesu Kristo ×2 2.Shetani muovu sasa ameshindwa minyororo ya dhambi yote imekatwa kweli...hakika... 3.Ufufuko wa Kristo umetuletea tumaini jema maishani mwetu daima hakika.... Tumshangilie (Kristo) mkombozi wetu Kafufuka kweli(yeye) sasa ni mzima shangwe twimbe shangwe leo shangwe twimbe shangwe leo..tunaimba aleluya tunacheza kwa furaha ..aleluya aleluya aleluya aleluya aleluya aleluya aleluya aleluya aleluya aleluya aleluya aleluya aleluya aleluya aleluya aleluya....

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa