Mtunzi: Geofrey Kiswaga
> Tazama Nyimbo nyingine za Geofrey Kiswaga
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 284 | Umetazamwa mara 2,027
Download Nota Download MidiYafaa sana sisi kusikitika na kulalamika kwa sababu ya utepetevu wetu na uzembe wetu kwamba hatuna tamaa kubwa ya kumpokea Yesu wa Ekaristi x2
1. Mwenye kututumainisha na kutustahilisha ndiye Yesu wa Ekaristi
2. Mwenye kututakasa sisi na kutupa furaha sisi ndiye Yesu wa Ekaristi
3. Mwenye kutuokoa sisi tupate uzima milele ndiye Yesu wa Ekaristi