Ingia / Jisajili

Yesu Kristu Ni Mfalme

Mtunzi: Paschal Florian Mwarabu
> Tazama Nyimbo nyingine za Paschal Florian Mwarabu

Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme

Umepakiwa na: Vitus Chigogolo

Umepakuliwa mara 12,184 | Umetazamwa mara 18,421

Download Nota Download Midi

Maoni - Toa Maoni

Germain Wasso Nov 23, 2024
Aksanti kwa utunzi huu

Charmant Kabemba Dec 21, 2016
Pongezi kwenu kwa kutunga nyimbo nzuri. Lakini makosa ni kidogo tuu mu harmonisation ya huyu wimbo. Sisi tuli badirisha masauti hii: Altor, Tenor na Basse. Lakini, Soprano tuli acha vile vile. Asante sana kwa kazi zenu.

Zephrine Domician Lufurano Nov 16, 2016
Mpango huu ni mzuri kwa sababu unaniwezesha kupata wimbo amboa sina. Kwa wimbo huu, umekosewa kwenye noti za sauti ya tatu, kipimo cha saba kwenye maneno 'Mfalme milele'

Toa Maoni yako hapa