Ingia / Jisajili

Yesu Kristu Wa Ekaristi

Mtunzi: Noel Ng'itu
> Mfahamu Zaidi Noel Ng'itu
> Tazama Nyimbo nyingine za Noel Ng'itu

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 406 | Umetazamwa mara 1,856

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Huyu ni Yesu Kristu ni Yesu Kristu wa Ekaristi akaaye katika fumbo la kiini cha ngano

Huyu ni Yesu Kristu ni Yesu Kristu wa Ekaristi akaaye katika fumbo la mzabibu

Hakika tunapokula mkate na kunywa kikombe cha mzabibu tunashiriki mwili na damu yake Yesu x2

1.       Amini nawaambia mtu yeyote apokeaye mwili na damu ya Yesu Kristu ana shiriki mwili na damu yake Yesu

2.       Amini nawaambia mtu yeyote asiyepokea mwili na damu yake Yesu anakosa uzima wa Roho ndani yake

3.       Alaye chakula hiki na kunywa kikombe cha mzabibu huyo hukaa ndani ya Yesu huyo anao uzima mpya


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa