Mtunzi: Madam Edwiga Upendo
> Mfahamu Zaidi Madam Edwiga Upendo
> Tazama Nyimbo nyingine za Madam Edwiga Upendo
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Majilio | Zaburi
Umepakiwa na: Madam Edwiga Upendo
Umepakuliwa mara 3,295 | Umetazamwa mara 7,676
Download Nota Download MidiKiitikio: Bwana anakuja awahukumu mataifa kwa haki x2
Mashairi: 1. Mwimbieni Bwana zaburi kwa kinubi na sauti ya zaburi
kwa panda na sauti ya baragumu, shangilieni mbele za
mfalme Bwana
2. Bahari na ivume na vyote viijazavyo, ulimwengu nao wakaao
ndani yake
3. Mito na ipige makofi milima na iimbe kwa furaha mbele za Bwana
4. Kwa maana Bwana anakuja, aihukumu nchi atauhukumu ulimwengu kwa haki
na mataifa kwa adali