Mtunzi: Joseph Makoye
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Makoye
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 6,969 | Umetazamwa mara 13,698
Download Nota Download MidiYesu mwema njoo kwangu unilishe na chakula cha mbinguni chenye uzima wa milele x2
1. Ee Yesu wangu wewe ni kitulizo cha roho yangu njoo kwangu hima uniponye
2. Mimi ni mdambi makosa yangu nina yatubu kwako unisafishie Roho yangu
3. Ukae kwangu nami nikae kwako Ee Yesu mwema urafiki udumu daima