Mtunzi: E. F. Mlyuka. Jissu
> Tazama Nyimbo nyingine za E. F. Mlyuka. Jissu
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 5,287 | Umetazamwa mara 11,260
Download Nota Download MidiYesu wangu nakutamani nakutamani Yesu wangu nakutamani rohoni mwangu kweli
Yesu wangu nakuhitaji nakuhitaji Yesu wangu nakuhitaji maishani mwangu
Ni wewe ni wewe tegemeo langu ni wewe ni wewe kimbilio langu ni wewe ni wewe mwokozi wangu wa Roho yangu x2
1. (a) Nakukaribisha Yesu moyoni mwangu, ingia moyoni mwangu unipe raha.
(b) Kaa nami-ndani yangu nami ndani yako,ingia moyoni mwangu unipe raha.
2. (a) Nathubutu kuringia uwepo wako, ingia moyoni mwangu unipe raha.
(b) Nahisi furaha moyoni ni-kiwa nawe, ingia moyoni mwangu unipe raha.