Ingia / Jisajili

Vijana Tusimame Imara

Mtunzi: E. F. Mlyuka. Jissu
> Tazama Nyimbo nyingine za E. F. Mlyuka. Jissu

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 2,618 | Umetazamwa mara 6,368

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Iyele, Iyele, Iyele, Iyele, Iyele vigelegele vipigwe kulishangilia Kongamano Kongamano la vijana, vijana tusimame imara ae

Iyele, Iyele, Iyele, Iyele, Iyele vigelegele vipigwe kulishangilia Kongamano Kongamano la vijana, vijana tusimame imara tuwe imara kiroho, tuwe imara kimwili ibada iwe chachu ya kumtafuta Mungu Baba tusijifanye sisi hodari kwa kila tufanyalo

(Tusidanganye nafsi kazi yote ya Mungu hivyo maneno yetu vijana siku zote yawe machache tusindanganye) x 2

  1. Awali ya yote tumshukuru Baba Mungu, kwa upendo wake kwetu sisi wanae, Mungu ni mwema, ni mwema sana, hata tunapokosea hutusamehe, sisi vijana tu wakosefu, tunapokosea hutusamehe, si mwepesi wa hasira ni mwingi wa huruma, vijana tumheshimu.
     
  2. Tujichunge sana na myenendo yetu vinginevyo tutaangamia, pasipo kujua, vijana vijana vijana na tumuogope Mungu.
     
  3. Tujivunie kwa na Kristo Yesu, aliyekufa kwa ajili yetu yeye ni mwamba, tena yeye ni ngome, tusimuache, atatulinda vijana tulijengeni kanisa lisije bomoka.

HITIMISHO

Iyele, Iyele, Iyele, Iyele, Iyele
Tushikamane, vijana kwa pamoja x 2
Vijana Iyele, Iyele, Iyele, Iyele, Iyele x 2
Vijana Wolololo, wololo, wolololo, wolololo x 2
Vijana lo! lo! lo! ha! ho! ho!
kijana sema utakacho kwa we sema x 2


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa