Ingia / Jisajili

Yesu Nitoe Mashakani

Mtunzi: Deogratias R. Kidaha
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias R. Kidaha

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 914 | Umetazamwa mara 2,570

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Maisha yangu ya mashakani Yesu wangu,
Nihurumie uniokoe mashakani,
Amani yangu, imetoweka, Furaha yangu i-mashakani
Yesu mwema niokoe.

  1. a. Vita vikali duniani, vyanipa hofu Yesu wangu.
    b. Silaha kali za kivita, zanipa hofu Yesu wangu.
     
  2. a. Magonjwa mengi ya ajabu, yaniogofya Yesu wangu.
    b. Mateso mengi kila siku, yananitesa Yesu wangu.
     
  3. a. Wenye mabavu wanitishia wataka kuniangamiza.
    b. Wametengeneza silaha, za sumu kali Yesu wangu.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa