Mtunzi: Bavon Christopher Kitamboya
> Mfahamu Zaidi Bavon Christopher Kitamboya
> Tazama Nyimbo nyingine za Bavon Christopher Kitamboya
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Bavon Christopher
Umepakuliwa mara 504 | Umetazamwa mara 2,167
Download Nota Download MidiVerse 1: Imani Kristu Yesu Mwokozi wangu, nasadiki upo kweli katika altare hapa
Chorus: Yesu, Yesu unipokee naja kwako nishike wangu mkono
Verse 2: Kwa damu yako initakase dhambi zangu, nitimilike nikupokee ewe rafiki wa roho yangu
Verse 3: Ee Bwana ulisema yeye aulaye mwili wangu na kunywa damu yangu hukaa ndani yangu na hukaa ndani yako