Ingia / Jisajili

Ee Mungu Ngao Yetu

Mtunzi: Bavon Christopher Kitamboya
> Mfahamu Zaidi Bavon Christopher Kitamboya
> Tazama Nyimbo nyingine za Bavon Christopher Kitamboya

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: Bavon Christopher

Umepakuliwa mara 1,577 | Umetazamwa mara 1,920

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 20 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Mungu, ngao yetu, uangalie, umtazame uso Masiya wako x2. Hakika siku moja katika nyua zako ni bora kuliko siku elfu x2

Maoni - Toa Maoni

Raphael Aug 10, 2022
Pongezi kwa mtunzi

RAPHAEL Aug 08, 2022
Nawapongeza mtunzi wa wimbo nzuri sana Mungu aendelee kukupa uwezo zaidi wa kuendelea kutunga nyimbo nyingi zaid.

Toa Maoni yako hapa