Ingia / Jisajili

Yohane Alinena

Mtunzi: Cylirus Albert Kaijage
> Mfahamu Zaidi Cylirus Albert Kaijage
> Tazama Nyimbo nyingine za Cylirus Albert Kaijage

Makundi Nyimbo: Ubatizo

Umepakiwa na: Cylirus Kaijage

Umepakuliwa mara 150 | Umetazamwa mara 333

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Tazama Yohane alinena hivi juu yake "Mimi nimeona tena nimeshuhudia ya kuwa huyu ni Mwana wa Mungu". Nimemwona Roho akishuka kutoka mbinguni kwa mfano wa hua, naye akakaa juu yake aliye mwanakondoo abebaye dhambi zetu. Sauti ya Baba kutoka juu mbinguni ikasikika ikisema, Huyu ni mwanangu mpendwa wangu ninayependezwa, ninapendezwa naye.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa