Ingia / Jisajili

Zaeni Matunda Mema

Mtunzi: Traditional
> Tazama Nyimbo nyingine za Traditional

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 1,404 | Umetazamwa mara 1,670

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
1. Zaeni matunda mema zaeni yenye baraka zaeni matunda mema zaeni ya heri...

(K) Bwana akiyapokea yatabarikiwa vyema zaeni matunda mema zaeni ya heri X2

2. Safisha mwenendo wako safisha matendo yako safisha na Bwana Yesu safisha yote...

3. Fanyeni kazi kindugu fanyeni kazi kwa bidii fanyeni na Bwana Yesu fanyeni yote...

4. Tolea matunda yako pamoja na moyo wako naye Bwana Mungu wako atakubariki...

5. Baraka za Mungu Baba baraka za Mungu Mwana na za Roho Mtakatifu ziwe nanyi nyote...

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa