Mtunzi: Traditional
> Tazama Nyimbo nyingine za Traditional
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Tenzi za Kiswahili
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 1,175 | Umetazamwa mara 4,090
Download Nota Download Midi1.Na jua Hiamka mara ni kutamka, tumsifu Yesu Kristo milele Amina
2. Nikiingia kazi nitasali wazi
3.Hitwaa chakula naanza kwa sala
4.Hija kanisani nanena moyoni
5.Kila nianzalo wazo langu ndilo
6.Kengele la kucha nainama kichwa
7.Nenapo pumzika usiku watamka
8.Na saa ya kufa mwisho nitoe sifa
9.Nikishavuka ng'ambo niingie kwa sifa
10.Milele niimbe, milele niimbe.