Mtunzi: Victor Murishiwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Victor Murishiwa
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Shukrani
Umepakiwa na: Martin Munywoki
Umepakuliwa mara 10,827 | Umetazamwa mara 18,190
Download Nota Download Midi1. Zimetiririka zimetiririka zimetiririka neema za Mungu
Zimetiririka (neema) zimetiririka (neema)
Zimetiririka (wote) tumeinuliwa aleluya *2
Majumbani mwetu (tiririka), mashambani mwetu (tiririka),
Familia zetu (tiririka), tumeinuliwa aleluya *2
2. Tazama mimea inavyochanua hizi ni neema kutoka Mbinguni
3. Tazama bahari na mawimbi yake vinashangilia neema za Mungu
4. Tazama wanyama wanavyopendeza ndege wa angani wanaburudisha
5. Mvua inanyesha jua linawaka kuukamilisha utukufu wake
6. Mchana na usiku vinatuongoza kuyafurahiya majira ya mwaka
by Victor A Murishiwa