Ingia / Jisajili

Lugha Ya Muziki

Mtunzi: Victor Murishiwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Victor Murishiwa

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Philemon Kajomola

Umepakuliwa mara 27,634 | Umetazamwa mara 53,569

Download Nota Download Midi

Maoni - Toa Maoni

boniface charles Jan 27, 2023
Kazi nzuri, natamani nisaidiwe notes za muziki na Mimi

Raphael kioko Aug 04, 2022
Shukrani

colonel Gervas Apr 05, 2021
Nyimbo ni nzuri sana ila mtandaoni tunashindwa jinsi ya kuipakua

Boniface Vonza Mar 21, 2021
Kazi nzuri. Inatusaidia sisi walimu kufundisha the right thing

Bernard kakako Apr 17, 2020
Kongole, Mola azidishe aali aali nomi kipaji chako. Nami mwimbaji na mtunzi ibuka, naomba tuwasiliane ndipo nikuze ndoto yangu ya kuwa mwanamziki

John joseph Feb 04, 2020
Ulale mahali pema peponi mwalimu

Ferdinand Makori Moriasi Nov 05, 2019
Kazi kuntu Bw. Murishiwa. Mungu akuongeze hekima yake katika utunzi wako.

patrick mashamba Oct 22, 2018
hongera kwa kutuinjilisha kwa nyimbo

paul Feb 17, 2017
wimbo huu wanifariji sana

Toa Maoni yako hapa