Ingia / Jisajili

MIMI NDIMI CHAKULA

Mtunzi: Plus Nicholas
> Mfahamu Zaidi Plus Nicholas
> Tazama Nyimbo nyingine za Plus Nicholas

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Plus Nicholas

Umepakuliwa mara 82 | Umetazamwa mara 323

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 20 Mwaka A
- Katikati Dominika ya 20 Mwaka B
- Katikati Dominika ya 20 Mwaka C
- Shangilio Mwili na Damu Takatifu ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mwaka A
- Shangilio Mwili na Damu Takatifu ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mwaka B
- Shangilio Mwili na Damu Takatifu ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mwaka C

Download Nota
Maneno ya wimbo

Mimi ndimi chakula mtu anifuataye hataona njaa kabisa na yeye aniaminiye hataona kiu kiu kamwe

1. Msikitendee kazi chakula chenye kuharibika bali chakula kidumucho hata uzima wa milele

2.Chakula cha mungu ni kile kishukacho kutoka mbinguni na kuupa ulimwengu uzima wa milele


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa