Mtunzi: Plus Nicholas
> Mfahamu Zaidi Plus Nicholas
> Tazama Nyimbo nyingine za Plus Nicholas
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Plus Nicholas
Umepakuliwa mara 660 | Umetazamwa mara 2,127
Download Nota Download MidiJiwekeeni hazina yenu mbinguni ambapo nondo hawataweza kuharibu ambapo kutu haitaweza kamwe kuharibu
1. Msijiwekee hazina yenu duniani ambapo wezi huvunja nakuiba
2. Hazina yako iilpo ndipo na moyo wako utakapo kuwa
3. Taa ya mwili ni jicho lako basi jicho lako likiwa zima mwili wako wote utakua katiika mwanga