Mtunzi: Samson Mpate
> Mfahamu Zaidi Samson Mpate
> Tazama Nyimbo nyingine za Samson Mpate
Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mafundisho / Tafakari | Mazishi
Umepakiwa na: Samson Mpate
Umepakuliwa mara 5,434 | Umetazamwa mara 10,383
Download NotaAfichaye dhambi zake na kujiinua machoni pa watu,huyo ni sawa na kipofu asiyeona njia.
Mashairi: 1.Bwana unirehemu mimi maana nimekukosea wewe,Tena wewe wanijua mimi tamgu tumboni mwa mama.
2.Nimejua mimi makosa yangu na dhambi yangu Bwana,Nami sikuficha udhaifu wangu ili niupate uzima