Mtunzi: Samson Mpate
> Mfahamu Zaidi Samson Mpate
> Tazama Nyimbo nyingine za Samson Mpate
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Samson Mpate
Umepakuliwa mara 726 | Umetazamwa mara 2,404
Download NotaNinakushukuru Baba Bwana Muumba wangu,kwa kunjalia uzima na afya wiki nzima.Ndiyo maana sasa Bwana ninakutolea ahsante,nakuomba uipokee sadaka yangu ee Bwana.
MASHAIRI:
1.Ndiyo maana sasa Bwana ninaleta sadaka yangu,nakusihi uipokee sadaka ya unyonge wangu.
2.Nakuomba Bwana wangu nisamehe makosa yangu,niumbie moyo radhi moyo wenye utii.
3.Umeniepusha na kunilinda na maradhi mengi,ajali nazo wanikinga nikushukuruje ee Bwana