Mtunzi: Samson Mpate
> Mfahamu Zaidi Samson Mpate
> Tazama Nyimbo nyingine za Samson Mpate
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani
Umepakiwa na: Samson Mpate
Umepakuliwa mara 2,209 | Umetazamwa mara 4,740
Download NotaEwe Mungu wangu Bwana na Muumba wa vyote ninakushakuru sana,kwa kunijalia uzima na afya kiumbe wako.Ndiyo maana sasa Bwana ninasema ahsante,ninakuimbia wimbo wa sifa mimi kiumbe wako,ninakushukuru sana Muumba wangu,ee Bwana Mungu muweza wa vyote.
MASHAIRI:
1.Umenijalia baraka tele mtumishi wako,amani na familia Bwana wangu nashukuru.
2.Nikitembea huku na kule wewe upo nami,hakuna hata siku moja ulipojitenga nami.