Mtunzi: A.Family
> Mfahamu Zaidi A.Family
> Tazama Nyimbo nyingine za A.Family
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: Aloyce Family
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiNakushukuru Mungu mwenyezi ngome imara maishani mwangu Fadhili zako kwangu ni kuu wwanitendea makuu nyakati zote wanishindia ahsante Mungu nashukuru, Fadhili zako kwangu ni kuu wanitendea mambo makuu nyakati zote wanishindia ahsante Mungu nashukuru.