Mtunzi: Lucas Mlingi
> Mfahamu Zaidi Lucas Mlingi
> Tazama Nyimbo nyingine za Lucas Mlingi
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: lucas mlingi
Umepakuliwa mara 768 | Umetazamwa mara 3,736
Download Nota Download MidiNI JUBILEI
NI JUBILEI (JUBILEI) NI JUBILEI YA MIAKA ISHIRINI NA MITANO
YA KWAYA YETU (MTAKATIFU) YA MTAKATIFU DON BOSCO MSIMAMIZI WETU MWEMA
(NI FURAHA ) MUNGU TWASHUKURU KWA KUTUFIKISHA SIKU YA LEO
( NA NI SHANGWE) SIKU YA LEO NI SIKU YA FURAHA SIKU TUKUFU.
1. EWE MSIMAMIZI WETU DON BOSCO TUOMBEE KWAKE MUNGU ILI TUDUMU KATIKA IMANI
2. LEO NI SIKUKUU TUNAFURAHIA NA VIGELEGELE MAKOFI NA FILIMBI TUNAMSIFU MUNGU
3. TUDUMISHE UPENDO TUDUMISHE AMANI KWENYE KWAYA ZETU KATIKA PAROKIA HAPA ARUSHA.
BY lucasmlingi@yahoo.com +255 754 974 978