Ingia / Jisajili

Ee Bwana Utege Sikio Lako No 2

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 22 | Umetazamwa mara 67

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 21 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 21 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 21 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
EE BWANA UTEGE SIKIO LAKO UNIJIBU WEWE ULIYE MUNGU WANGU UMWOKOE MTUMISHI WAKO ANAYE KUTUMAINI X 2 Fine (1).Wewe Bwana unifadhili mimi Kwa maana na kulilia Wewe mchana mchana kutwa. (2).Ee.Bwana utegesikio lako unijibu maana Mimi ni masikini na mhitaji.(3) Uifuraishe nafsi- ya mtumishi wako. Maana nagsi yangu na kutumaini Bwana.(4).Ee Bwana uyasikie uyasikie maombi yangu Bwana.uisikie sauti ya Dua zangu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa