Maneno ya wimbo
Wazao wake wata dumu milele.wazao wake wata dumu MILELE.x2 Fadhili za BWANA nitaziimba milele.kwa kinywa changu nitavijulisha vizazi vyote uaminifu wako.2.Maana nimesema Fadhili zita jengwa milele katika mbingu utauthibitisha uaminifu wako.3.Nimefanya agano na mteule wangu .nimemwapia Daudi mtumishi wangu wazao wako Nita wafanya imara milele.nitakijenga kiti chako Cha enzi hata milele.4.Yeye ataniita wewe Baba yangu MUNGU wangu na mwamba wa wokovu wangu hata milele nitamwekea Fadhili zangu .na agano langu litafanyika amini kwake.
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu