Mtunzi: Aidan Kapinga
> Mfahamu Zaidi Aidan Kapinga
> Tazama Nyimbo nyingine za Aidan Kapinga
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: Aidan Kapinga
Umepakuliwa mara 1,126 | Umetazamwa mara 2,951
Download Nota Download MidiAleluya Bwana Kafufuka Aleluya ×2
Utukufu na Ukuu una yeye Bwana, una yeye Bwana milele hata milele ×2
1. Ile milango ya kuzimu, Bwana Yesu ameifunga, tufurahi tushangilie kwani leo kafufuka.
2. Minyororo ya shetani, Bwana Yesu ameivunja, tufurahi tushangilie kwani leo kafufuka.
3. Malaika wanafurahi, wakiimba nyimbo nzuri, tufurahi tushangilie kwani Yesu kafufuka.