Mtunzi: Aidan Kapinga
> Mfahamu Zaidi Aidan Kapinga
> Tazama Nyimbo nyingine za Aidan Kapinga
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: Aidan Kapinga
Umepakuliwa mara 923 | Umetazamwa mara 2,114
Download Nota Download MidiAmefufuka Mchungaji mwema, aliye toa Roho yake kwa ajili ya kondoo zake. x2
Maimbilizi
1. Akakubali kufa kwa ajili, kwa ajili ya kundi lake aleluya.
2. Yesu mwana wa Mungu, ndiye Mchungaji mwenye nguvu ya kuwalinda kondoo wake.
3. Kondoo wamjua Yesu na kumuamini, na kumfuata aleluya.