Mtunzi: Aidan Kapinga
> Mfahamu Zaidi Aidan Kapinga
> Tazama Nyimbo nyingine za Aidan Kapinga
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Aidan Kapinga
Umepakuliwa mara 629 | Umetazamwa mara 2,050
Download Nota Download MidiHeri wenye rehema maana hao watapata reheme.
Maimbili
1. Heri wenye moyo safi watamwona Mungu, heri wapatanishi wataitwa wana wa Mungu.
2. Heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki, maana Ufalme wa mbinguni ni wao.