Mtunzi: Himery Msigwa
> Mfahamu Zaidi Himery Msigwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Himery Msigwa
Makundi Nyimbo: Misa | Pasaka
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 2,454 | Umetazamwa mara 6,006
Download Nota Download MidiALELUYA ALELUYA
MAIMBILIZI
kristo pasaka wetu amekwisha kutolewa kuwa sadaka basi tuifanye karamu katika Bwana
Uje Roho mtakatifu uzienee nyoyo za waamini wako uwatie mapendo yako ALELUYA