Ingia / Jisajili

Nimempata Mpenzi Wa Moyo Wangu

Mtunzi: Himery Msigwa
> Mfahamu Zaidi Himery Msigwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Himery Msigwa

Makundi Nyimbo: Ndoa

Umepakiwa na: Himery Msigwa

Umepakuliwa mara 62 | Umetazamwa mara 96

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Nimezunguka zunguka pande zote za Dunia , nikimtafuta mpenzi wa moyo wangu , nilitazama tazama Kila Kona ya Dunia nikimtafuta mpenzi wa moyo wangu , Leo nimempata mpendwa wangu Leo nimempata mpenzi wa moyo wangu x2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa