Ingia / Jisajili

Aleluya - Matilda

Mtunzi: Bernard Mukasa
> Mfahamu Zaidi Bernard Mukasa
> Tazama Nyimbo nyingine za Bernard Mukasa

Makundi Nyimbo: Misa | Misa

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 10,308 | Umetazamwa mara 17,564

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Aleluya Aleluya Aleluya Aleluya Aleluya Aleluya Aleluya
(Aleluya Aleluya Aleluya Aleluya Aleluya) x 2

  1. Siwaiti tena watumwa kwa maana mtumwa hajui hajui atendalo Bwana wake atendalo Bwana wake.

  2. Lakini ninyi nimewaita rafiki kwa kuwa yote niliyoyasikia kwa Baba yangu nimewaarifu nimewaarifu Aleluya

Maoni - Toa Maoni

Augustine mipawa Dec 08, 2018
Tumsifu yesu kristo Hongera kwa kazi nzuri za muziki mtakatifu Tafafadhali naomba uweke nota za misa ya mt. Matilda nahitaji kuipakua

nelson mshama Dec 08, 2017
tumcfu yesu kristo.naomb San ten San kukutna na we.na pia naomba uwek ile misa ya mt Matilda. niidownload

Toa Maoni yako hapa